Tibaijuka aishangaza dunia, mataifa yataka viongozi waige mfano wake

ili bidi awe mama jesca , pangenoga mnooo..baba anatafuta kiki huku na mama anatafuta kiki kule
 
ili bidi awe mama jesca , pangenoga mnooo..baba anatafuta kiki huku na mama anatafuta kiki kule
 
Mh! huyu anaonewa tu hapa wakati keshasema alikuwa anawahi ndege hivyo anaepuka foleni, Mbona mwingine alipanda daladala Ukonga na wala hakuwa akikwepa foleni na sifa tele alipewa kuwa ni mtu wa watu wa chini!! Tuache double standard
 
Hakuna kitu wanacho kifurahia ccm kama akili za huyo kiumbe aliyetoroka polini kuja kuungana na wanadamu
 
Roho inawauma hamuwezi kulingana na prof Tibaijuka mtaishia kuongea pemben.
 
Harafu wengine wanaume wazima mnamuongelea Mwanamke mi nadhani mnamuogopa hamumfikii kwa lolote, acheni zenu bhana.
 
Lini itafanyiwa amendments sheria ya kuruhusiwa kutoa tusi hadharani, maana kuna maudhi mengine kuyashuhudia na kupita kimyakimya yanaongeza hasira zaidi!
Rafiki yangu mmoja aliwahi niambia kuwa jijini London kuna eneo maalum kwa ajili ya matusi, ingawa nilijua ananipiga na sukari ila kuna ka impact flani hivi...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yaani haka katukio ndo unaandika maelezo mareeefu utafikiri unatoa taarifa ya kamati ya escrow account!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…