Tibaijuka aishangaza dunia, mataifa yataka viongozi waige mfano wake

Hakuna Uzi niliowahi kuuchukia kama huu, auwiiiiie yeuwiiiiii
 
Haya kakojoe ulale na hakikisha unachukua buku 7 toka kwa Bibi huyo.
Iko siku Mungu atagharikisha uongozi wa MAAGIZO NA MAISHA YA WALALAHOI.
Umepoteza muda kutuletea utumbo huu, toka lini Wanasiasa wa Lumumba wakawa na DHAMIRA ya kweli na HURUMA kwa WATZ.?????????????
Stop ua nonsense asap, nenda kachukue buku 7 yako,kojoa kisha ulale.
 
Sidanganyiki na haya maigizo!
Kama hapendi makuu kwanini alikubali bilioni 1.2b ya Escrow?
 
Nimekuja mbio nikidhani humu mama kasaini WCB kumbe wana m promote kibaka hell with Tibaijuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…