Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Kwa mujibu wa gazeti la leo la The Citizen, wafanyakazi wa UN huko Nairobi wameandamana kupinga kitendo hicho. Waandamanaji hao wanasema sio haki. Pia wanalalamika kuwa uamuzi huo unapingana na ripoti ya UN kuhusu maendeleo ya usawa wa kijinsia katika shirika hilo. Hali kadhalika uamuzi huo unaharibu uwiano wa kijiografia.
At times nawashangaa hawa mama zetu ma-activist. Hivi kama mwajiri wako anaona hufanyi kazi..analazimika kuku-retain hata kama hufanyi kazi aliyokupa kwa minajili ya GENDER? These people must be kidding!
Ila make no mistake..wenzetu wazungu wanaenda kwa dataz..hapa wameshafanya uchunguzi wao kwa kina..na wameonelea wamuondoe.
Ila to me ni aibu...maana atleast wangeleta mtu mwingine (after all UNON ilikuwa na separate Director tangu mwanzo..ni juzi tuu Kofi Anan aliamua kubadilisha....kitendo cha kumchukua Mjeremani aliyeingia UNEP anamkuta mama Tibaijuka akiwa Boss tayari....It sends wrong signal! Sijui ni wapi... ila mama kaharibu some where-big time!
...Mimi binafsi simfahamu wala simfagilii huyo mama ila nachojua aliwahi kujaribu kuleta mapinduzi fulani kupitia BAWATA Sirikali ikaishughulikia BAWATA. Usawa wa Kijinsia nayo ni mapinduzi pia.
Kwani amefukuzwa kazi na "mzungu"? Kwa mujibu wa hao waandamanaji wa UN unaosema wameshika bango la jinsia tu, huyu mama alikuwa analeta mapinduzi/mabadiliko hapo UN. Kumbuka hawa waandamanaji ni Jumuiya ya Wafanyakazi (Trade Union). Na walitaka amalizie kuleta mapinduzi. Hizi taasisi sote tunazijua jinsi zilivyo na mawazo mgando haya yaliyoelemea kwenye Umagharibi/Uropa-Umarekani. Mimi binafsi simfahamu wala simfagilii huyo mama ila nachojua aliwahi kujaribu kuleta mapinduzi fulani kupitia BAWATA Sirikali ikaishughulikia BAWATA. Usawa wa Kijinsia nayo ni mapinduzi pia.
Wana Jamvi
Kuhusu shule ya Barbro Johanson Model Girls secondary school, si yake kwa hakika. Ni shule inayoendeshwa na mfuko wa Joha Trust, ulioundwa kutokana na fedha/estates ya hayati Mama Barbro Johanson, Msweed, aliyefanya kazi Bukoba kama mmisionari, na akawa Mbunge wa Taifa kwa kuteuliwa na JKN. Mama yule kwa passion juu ya elimu ya wasichana aliacha trust kwa ajili ya kuwasaidia wasichana wenye vipaji maalum. Church of Sweden na SIDA waka-top up kuendeleza vision hiyo. Kila mwaka kuna fundraising inayofanyika hapa Sweden kwa ajili ya shule hiyo. Yeye prof Tiba ni mjumbe wa trust fund, na mwenyekiti ni balozi Rupia.
======Hapo Mkuu wewe utulie tu huna data kuhusu hilo just go there ujioonee ni watoto wa aina gani wako kwenye hiyo shule and how this Mama is involved. You will learn how selfish she is.
======
Ndugu yangu data ninazo. Nimedumu kwenye bodi miaka 4. Nimesikiliza malalamiko kama yako na kuyafanyia kazi. Nina orodha ya watoto wote walioko pale na kuhakiki kama críteria zinafuatwa za admission ambazo ni kipaji cha taaluma. Akiishapata admission, tunaangalia criteria za kumpa scholarship. Karo ni milioin 2.5, lakini based on parents income, wapo wanaolipa kuanzia milioni 2 hadi wasiolipa kitu. Asilimia 80 ya wanafunzi wanalipa laki 5.
Uselfish unaoutaja ni upi? Kama ni wa 50% ya student watoke Kagera, hilo siyo lake ni la mtoa wosia (Mama Barbro) badala ya shule kujengwa Kagera.
Prof hufika shuleni once a year wakati wa graduation. Nimemsikia mara kadhaa akilalamika kuwa angependa jukumu hili akabidhiwe mtu mwingine kwa sababu ya kazi nyingi. And I think it is happening soon. Anafanya in honor ya yule mama kwa mchango wake wa kuinua wanawake Tanzania. Ndiye aliyejenga shule ya wasichana ya Kashasha na Vision hiyo hiyo ndiyo alitaka iwe ya taifa zima.
Nakuomba umwage hapa selfshness yake tuione.
====baija bolobi,
Na ile project ya UN ujenzi wa nyumba aliopeleka kwake Muleba kwa upendeleo je unasemaje?
======Mama huyy kaleta projects nyingi hapa tanzania sasa kama muleba waliomba project hiyo awakatalie kwa sababu gani kwanza ni TZ nyumbani .hivi mnataka watu wawe malaika.Omba kwa mungu labda atakuteremshia mwanaadamu asiyejali kwao
baija bolobi,
Na ile project ya UN ujenzi wa nyumba aliopeleka kwake Muleba kwa upendeleo je unasemaje?