ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wapi pametajwa simba?Bila kutaja Simba unajihisi hujakunwa vizuri
Mnyama mkubwani ni nani ndala wa salamander au
Paka pori aka mbumbumbuHii ligi itakua na changamoto zake maana hawa jamaa nao wana mjapani na leo wamemuongeza Saidoo kule kuna Singida big stars,jamani kuna hatari mnyama mkubwa akamaliza nafasi ya Nne ligi ngumu jamani.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app