tibu magonjwa mengi mwilini kwa ARGI+

amon jason

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
125
Reaction score
4
je unajua kuwa unaweza kutibu yaliyoshindikana kwa kutumia ARGI+? jua matumizi makubwa ya ARGI+ kuji magonjwa bu maswali ya tiba ya afya yako.
.kutibu KISUKARI
.inatibu PRESHA.
.inaondoa kolesto.
kuondoa sumu mwilini
.mzunguko mzuri NA mkubwa wa damu mwilini.
.kuongeza NGUVU za KIUME kwa kiwango kikubwa sana NA kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa.+ maumbile kuwa imara.
.kinga kubwa ya magonjwa mwilini
.kuzalisha cd4 za kutosha mwilini.
.kuzuia UZEE
.KUIMARISHA mifupa NA kujenga vyema MISULI ya mwili.

haina madhara yoyote kabisa mwilini NA imethibitishwa NA mamlaka ya vyakula NA dawa. hutajuta kutumia Bali utaifurahia matokeo yake yalivyo makubwa.

kwa anayetaka piga 0713507487 / 0767507487/ 0782898210

bei 132,000/= tu.
karibu tuzungumze afya zetu.
 
Uzee unazuilika jamani ??! Hapo kwenye " kuzuia UZEE " nina wasi wasi! ungetafuta namna nyingine ya kuelezea.
 
kuhusu UZEE huwa ni hormones tu zinazalishwa so huwa inastop generate zile ongoing hormones za kuelekea UZEE.
 
dah taaabu kweli kweli,

Je ni dawa gani ambayo inatibu vitu vyote hivi tena kwa mpigo? Mfano kisukari, presha, uzee, nguvu za kiume etc etc?

Naona kwa lugha rahisi unaleta huduma ya 'kikombe cha babu wa loliondo'.

Kwa kujitangaza kibiashara people capitalize on people's problems. Hapa namaanisha kwamba kwa kuwa unajua matatizo ya kiafya ya watu ni pamoja na presha, kisukari, pengine upungufu wa nguvu za kiume, uzeee n.k basi umeamua ku-capitalize hapo hapo. Hakuna ubaya katika hilo bali naomba angalau kuwepo na ukweli katika hilo....

Kwa faida ya JF je would you like kuweke reference research studies inayonesha mafanikio ya dawa yako katika kutibu? Ningependa sana kuona.

Watanzania wenzangu tuwe makini
 
Mkuu, hiyo bei ni balaaaa. Zaidi ya mara mbili ya kima cha chini cha mshahara kwa mfanyakazi wa ndani au Bar
 
Argi+ tiba halisi
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368905021369.jpg
    6.4 KB · Views: 124

kuzuia uzeeee????????????????????????????????// never heard before lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…