Tibu mba kwa mafuta ya nazi

Easyway

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
2,606
Reaction score
3,710
Kwa mtu yoyote mwenye mba na ambaye ametumia dawa nyingi na hakupona nashauri atumie mafuta ya nazi apake kichwani yanaweza kukuponyesha.
Mafuta ya nazi ya kawaida tu yametibu mba niliokuwa nao kwa miaka zaidi ya kumi nilitumia dawa nyingi sikupona ila nilipoanza kutumia mafuta ya nazi sina tena mba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu.@Kitulo kwa kutupa feedback ya Mafuta ya nazi ni dawa ya maradhi mengi tu lakini wadanganyika wanayadharau na mara nyingi waswahili wanasema kila mwenye kudharau mwiba mguu wake utaota tende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…