Dume la Nyani
Member
- Apr 14, 2011
- 37
- 8
imekuwa ni mchezo wa kawaida kwa huyu mwalimu wa kiume..kufanya mapenzi na wanafunz wake wa kike tena wengine ni watoto wa form2..acpojirekebsha 2tamtaja jina lake na shule anayofundsha...kchefuchefu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaandika kama vile JF yote ipo hapo mtaani kwakoimekuwa ni mchezo wa kawaida kwa huyu mwalimu wa kiume..kufanya mapenzi na wanafunz wake wa kike tena wengine ni watoto wa form2..acpojirekebsha 2tamtaja jina lake na shule anayofundsha...kchefuchefu..
yaani bado unamuogopa na kumheshimu na unashindwa mtaja?
muache awamalize watoto wenu basi
Anasema humu utafikiri huyo ticha naye ni member. Inakuwaje kama sio member? Halafu kitu kama hicho unategemea atajirekebisha? Naona tunafanya maisha kama mchezo wa kuigiza wa sanaa za kaole.