Hoja hii ni ya kidaku. Mleta hoja ana bifu binafsi na huyo ticha ama juu ya hao watoto au vinginevyo. Bila hivyo angemtaja jina na shule na mahali alipo. Laiti angeficha majina ya watoto kwa sababu ni kinyume cha sheria ingeingia akilini. Vinginevyo hata kama asemayo ni kweli, ameshindwa kuja na hoja inayoingia akilini. Je mtoa hoja anaogopa kutaja jina ili mhusika asimtaje naye wote wakamwaga mtama? Tatizo hapa ni mfumo mbaya ambapo walimu kuanzisha shule za msingi hadi chuo kikuu wanatumia mamlaka yao kueneza miwaya. Watoto wakipaga mimba rais wenu badala ya kuwashughulikia hao wahalifu anasema ni kiherehere chao. Namna hii kweli tutafika?