Ticket 62,000 ni Sold Out huko Algeria, mama yangu weeeeeeee

Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.

Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua.
Usichokijua ni kwamba Waalgeria wengi ni mashabiki wa Yanga[emoji16][emoji16][emoji16]

Usiogope..[emoji1787]
 
Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.

Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua
So uwanja mzima wameujaza wao doh🤔🙄
Hilo vibe la mashabiki wao litakavyokuwa sasa lol🤣🤣
 
Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.

Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua.
Kinachowauma Simba ni hiki.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685678819686.jpg
    FB_IMG_1685678819686.jpg
    33.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom