Ticket ya ndege bei nafuu

Naomba msaada wapi nitapata cheap flight ticket?

Saa zingine unaweza ukawa unahitaji msaada lakini ze way unavyojieleza inakuwa ni utata kidogo, hebu jaribu kuweka detailz uko wapi na unahitaji tiketi ya kwenda wapi? Kuna watu wanakuwa na return ticket na hawajuhi pa kuziuza
 
Huyu anataka za duniani nzima,wacha nianze na hii DSM-INSTANBUL RET. Ticket for ONLY 250usd-turkish airlines
 
Naomba msaada wapi nitapata cheap flight ticket?

We Katibu tarafa ya wapi? Magagula au Maposeni nini?

Uelezi wapi mpaka wapi..

jaribu hizi sites kama zitakusaidia ku compare kama ni nje ya Tz:

Cheap Flights to Dar es Salaam - Compare Dar es Salaam flights

Flights to Tanzania - Search and Compare Tanzania Flights

Cheap flights to Tanzania (TZ) | Search and Compare Tanzania (TZ) flights - Skyscanner USA


Tanzania Flights: Cheap flights to Tanzania, Africa - lastminute.com

TANZANIA Flights | Find Cheap Flights to TANZANIA - Kelkoo UK

Cheap Flights to Tanzania

Othiwse kwa Dar - Mwanza - Arusha nk, Jaribu Precision AIR (SHIRIKA LILILOISAMBARATISHA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA BIASHARA YA SAFARI ZA NDEGE).
 
Napenda kuwashukuru wote mliotoa michango yenu, ni kutoka UK to Dar, nahitaji kuwahi kuchukua form kwa ajili ya kuwania urais nimechoka na ukatibu tarafa.
 
huyu anataka za duniani nzima,wacha nianze na hii dsm-instanbul ret. Ticket for only 250usd-turkish airlines
kwenda na kurudi Israel itakuwa bei gani? naona kama wewe mzoefu sana.........najua travel agency zipo kibao na naweza kupiga simu......lakini nipe hiyo route kama unajua bei zake.
 
napenda kuwashukuru wote mliotoa michango yenu, ni kutoka uk to dar, nahitaji kuwahi kuchukua form kwa ajili ya kuwania urais nimechoka na ukatibu tarafa.
1.ugombea binafsi umekataliwa............bora baki na ulicho nacho
2.hata hivyo njoo na pesa nzuri ya kuchukulia fomu tu.
 
kwenda na kurudi Israel itakuwa bei gani? naona kama wewe mzoefu sana.........najua travel agency zipo kibao na naweza kupiga simu......lakini nipe hiyo route kama unajua bei zake.
Kuanzia USD 1200 kutokea Dar
 
Huogopi kufa?

Sheikh Yahya amechemsha, hafi mtu jamaa wachukue fomu tu kwani mkwere anang'ang'ania kazi tu lakini imemshinda!! Alitabili kuwa uchaguzi utaahilishwa lakini dalili zinaonyesha kuwa ccm wanadunda tu na matayarisho yao!!
 
hivi nikinunulia dar, kunaunafuu wowote ?
Sasa labda uwe na visingizio vingine -kuna ndege(private jet) ya wazee wa kazi imeondoka leo kumleta mgonjwa hapo-kufa kufaana, inarudi ijumaa 2300hrs/Heathrow A, kutoka hapo-nimeona nikufanyie huduma jamii-utatakiwa kuwa na passport na USD zako 100 tu. Kurudi itabidi urudi mbele kwa mbele maana si mpaka umalize uchaguzi?na unaweza usirudi maana naona morali ulionao unaweza kuwa raisi wetu.
 
katabazi, heathrow si sawa na stedi yetu hapo bongo,nipe maelezo ya kina ili niwatafute hao jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…