Ticket ya ndege Emirates zimeshuka bei changamkieni fursa.

Ticket ya ndege Emirates zimeshuka bei changamkieni fursa.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Dubai kwenda na kurudi ni dollar 700 wakati wiki 3 zilizopita ilikuwa dolla 1000 na kitu.

Kwa wale wanaotaka kutembea au kwa biashara huu ndio wakati wenyewe.

Ata kwa safari za marekani pia zimeshuka kama unampango wa safari na unataka kujua utaniuliza hapa hapa.
 
$700*Tsh1650/$=Tsh 1,155,000/=.kweli bei cheap
 
Back
Top Bottom