Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Dubai kwenda na kurudi ni dollar 700 wakati wiki 3 zilizopita ilikuwa dolla 1000 na kitu.
Kwa wale wanaotaka kutembea au kwa biashara huu ndio wakati wenyewe.
Ata kwa safari za marekani pia zimeshuka kama unampango wa safari na unataka kujua utaniuliza hapa hapa.