MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
salaam Jf
Katikat safari ya hivi karibuni ya "Mama kizimkazi" ya kwenda katikat moja ya mataifa yaliyoendelea kiteknolojia katikat kipind kiufupi Cha miaka 40 iliyopita south Korea, Hawa south Korea wako katika four tigers of Asia wako pamoja na Hong Kong, Singapore,and Taiwan. Hizi ni moja kati ya nchi ambazo nchi za kiafrica zinatakiwa kujifunza Sana kutoka kwako kwa sababu zimefanikiwa kuendelea in a very short period of time from 70's to Early 2000's.
Sasa kitimtim kama alivyoimba banza stone ni pale ambapo wasanii wakaenda na kiongoz wa nchi na wasomi ambao wangeweza kuiba ujuzi wa kiteknolojia kutoka moja kati ya nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa semiconductors zinazotumika katika smartphones zetu wakiwa wamebaki wanazurura tu kwenye jua wakitafuta ajira
But haishangazi Sana hii yote ni kukosa vipaumbele kama nchi huku kipaumbele kikubwa kikiwa uchaguzi so lamata kwa sababu atavaa t shirt ya mitano tena mwakani na msomi hatoweza kufanya hivyo so ticket ya Korea kusini hawezi pewa msomi hata siku moja