Ticts jobs

Pole hata Yesu alisema 'for others to survive one has to die'.
 
Mmh! Hivi Mkuu ungeendelea na kazi ungeleta malalamiko hapa JF kweli? Nipo tofauti kidogo samahani Mkuu.
 
Mmh! Hivi Mkuu ungeendelea na kazi ungeleta malalamiko hapa JF kweli? Nipo tofauti kidogo samahani Mkuu.

Nadnai kama wangemwambia mshahara kiasi gani asingelalamika. Hapa issue ni uonevu aliofanyiwa na kama siyo unyanyasaji. Huwezi mfukuza mtu kazi kisa kauliza mshahara. Na ndiyo maana hakuna mikataba waliyosign lasivyo angewashitaki wamlipe mpaka mkataba unapoisha. Kuuliza msahara siyo kosa maana hiyo ndiyo determinant ya wewe kukubali kuajiliwa ama lah.. Kuna watanzania wengi wanaajiriwa na makampuni hata ya kigeni bila hata ya ku negotiate mshahara. Matokeo yake wanakuwa underpaid alafu wanalalamika. Kama kungekuwa na umoja wote waulize bila shaka. Ingekuwa fundisho kwa kampuni hiyo kuto fanya huo unyanyasaji waliomfanyia mwenzetu. Yote ni yote ninampongeza kwa ujasiri aliouonyesha.
 
Great Thinker....tuendelee kuelimishana!!!
 
pole sana mdau, inauma sana, watanzania tuwe na msimamo ili tujenge nchi yetu,waajiri wanatunyanyasa sana..............inaumaaaaaaaaa!
 
Kawashitaki wizarani mkuu huwezi kunyanyaswa ndani ya nchi yako bana
 
Kwa mara nyingine nakushangaa sana mkuu.

Hapa aliyekuajiri na kutokukuambia mshahara wako ni TICTS au Lukundo?...Hapa naona unawaonea TICTS bure. Wabaya wako ni hao LUKUNDO.

H
 
Kwa mara nyingine nakushangaa sana mkuu.

Hapa aliyekuajiri na kutokukuambia mshahara wako ni TICTS au Lukundo?...Hapa naona unawaonea TICTS bure. Wabaya wako ni hao LUKUNDO.

H
Understood!!!!!!!!
 
Pole sana kaka!
Mlango mmoja ukifungwa 100 zaidi inafunguliwa.
We jitahidi upate jinsi ya kutumia hiyo milango mingine.
Usikate tamaa ndugu, tuko pamoja!
 
Nahisi kama kuna tatizo la kutoelewana hapa.Tukiangalia hali halisi kabla ya kuangalia hizi hoja fupi, hivi ni kweli kuuliza mshahara ni dhambi? So ukiuliza siyo mfanyaji kazi,ni mchunguzi.....Kwani umetumwa na nani wewe? Hizi akili za aina hii ndiyo zinafanya hii nchi inakuwa na hali mbaya!Can we have you thinking at you max before posting please? Thanks
 
Asprin hata hao TICTS Siyo wasafi.In case you have forgetten waliingia kirushwamizengwe. So mie naona unawakingia kifua nyani kwa kigezo cha "waliokula ni tumbili"
Kwa mara nyingine nakushangaa sana mkuu.

Hapa aliyekuajiri na kutokukuambia mshahara wako ni TICTS au Lukundo?...Hapa naona unawaonea TICTS bure. Wabaya wako ni hao LUKUNDO.

H
 
You will not regret for being fired before even starting the job.
 
Nanu wewe ni fisadi wa kwanza humu, inawezekana wewe ni ndiyo Msukule wa hiyo kampuni. Kama umekuja humu kutetea ujinga wa hiyo kampuni yako, tunakukemea kwa jina lipitalo majina yote!

Alichosema ni kweli na kama unawafahamu hao watu wapelekee hiyo message warekebike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…