TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

Mdomo wake tu unaashiria upigaji
 
Mwacheni Rostam ale matunda ya Uhuru.TICTS iongezewe mkataba wa miaka 60 na waongeze vifungu vya kuisaidia CCM kifedha mpaka mwisho wa mkataba.
Hiyo miezi ya majadiliano waongeze ifike miaka mitatu ya majadiliano na Rais aagize Wizara ya Ujenzi waandae Bajeti ndogo ya posho ya majadiliano.Hamna namna,kazi iendelee!
 
Hata wasipoongezewa mkataba, washatafuna sana pesa hao...
 
Imeisha hiyo watu washapiga mabilioni hapo wanapoteza ushahidi.
 
Kumbe inawezekana kelele zote za kupinga mkataba wa DPW unafanywa na kuendeshwa na hawa washindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…