TID ammwagia sifa house girl wake mtandaoni!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;
"i'm here with my house girl......anajitahidi as long as my place is clean"
Aliandika t.i.d ikifatiwa na picha aliyopiga.Picha hiyo amepiga akionekana yupo na mwana dada huyo ambae yeye anadai ndio house girl.

Swali ni kwamba house girl wake pia yupo instagram ama? na kama sio house girl kwanini kamuita house girl ikiwa picha yenyewe ina utata kutokana na walivyo pozi.Pia mwana dada huyo ali post picha aliyopiga na TID na kuandika;
"feels good when a nigga gets u laughing hard"
 
Sijawahi kuwa fan wa huyu jamaa.BTW anafanya promo ya wimbo wake mpya.
 
hizi biznez strategies za wanamziki wtu ni za hovyo sana
 
Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;

"i'm here with my house girl anajitahidi as long as my place is clean" Aliandika t.i.d ikifatiwa na picha aliyopiga.Picha hiyo amepiga akionekana yupo na mwana dada huyo ambae yeye anadai ndio house girl. Mia
 
Alosto ya Unga hiyo na tukingereza kingereza twake huto jamaa ni pimbi huyu ukimkuta kwe hood yake
 
huyu demu shekha si mzuri kivile ila ni chai ya wa dar es salaam wengi!kigogo TID ndo anakaa hapo kwa huyo kicheche kwa sasa kabla hajamtekea tom dar es salaam!...ujinga wa nuhu mziwanda huyu shekha aliufanya wayback kipindi anamegwa na petit man!
 
zamani sana katika pita pita zangu mitaa ya kinondoni nilikuta watu wazima wengi wengi kwenye bar wanaimbishwa nyimbo ya zeze (kama wanipenda.....zeze lanibembelezaaa)... basi wakiimba vizuri anawanunulia bia...niliporudi home nilicheka sana...so hii ni stunt ndogo sana kwake.
 
huyu demu shekha si mzuri kivile ila ni chai ya wa dar es salaam wengi!kigogo TID ndo anakaa hapo kwa huyo kicheche kwa sasa kabla hajamtekea tom dar es salaam!...ujinga wa nuhu mziwanda huyu shekha aliufanya wayback kipindi anamegwa na petit man!

hapa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…