Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Mzazi naona hapa kuna jambo.Ukitafakari kwa kuunganisha dot huyu TID kuna kitu nyuma ya pazia.Kama yeye alipewa nafasi kwenye mkutano wa RC ya kujieleza na kuna taarifa ziliwahi sambaa nyumba hii TID kumtembelea RC nyumbani kwake na haukupita muda akawa naye mbele ya press si wa kupuuza haya aliyoyaoongea kama ni kweli.Huyu atakuwa anajua mengi kuhusu swala hili.Tusimpuuze na ubwiaji wake maana alishapanda hadhi siku za karibuni.TID anakusudia kutuambia nini?
Itakuwa ni makosa makubwa kwa vyombo vya habari kuendelea kumpa nafasi huyu mbwia unga ya kusema na jamii.
Vijana wanaweza kuona huyo mpuuzi ndio role model wao kwa kubwia miunga.
Weka mbali na vyombo vya habari huyo.
Hatumpi adhabu bali hakuna jinsi, ila tutamtumia kama sample tukiwa na somo la kufundisha madhara ya madawa ya kulevya.