Tid apigwa na hasheem thabeet.

ramson34

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
109
Reaction score
4
Jamani kuna taarifa toka kwa mshikaji wangu wa karibu ameniambia kwamba,siku ya ijumaa pande za billicanas sehemu ya parking mida ya saa kuni ya usiku alishuhudia ugimvi kati ya hashem thabit na TID,
jamaa anasema hakujua chanzo ila alichoshuhudia ni kuona TID akipigwa mtama a.k.a ngwa a.k.a kata funua nzito sana kutoka kwa hasheem na akaanguka mzima mzima..baada ya hapo ma baunsa waliingilia kisha kumtoa hasheem ambaye aliingia ndani ya vogue yake na kutoweka eneo la tukio.

jamani kama mtu mwingine ana undani zaidi wa mkasa huu naomba atumwagie hapa JF.
 
Hashim Msuri wake ni mkuuubwa, kama ni kweli angemuua TID wa watu, na yeye H, anapaswa kuwa mwangalifu wakati huu ambao ndio maisha na nyota yake vyaanza kutakata,
 
Cheki post yangu ya leo mkuu. Mimi nilikuwa mmoja wa mashuhuda, lakini nilikuwa kwa nje. Waliokuwa ndani ya club watueleze kuhusu chanzo cha beef.
 
Does this thread deserve a page on political Forum?
 
ebwana sorry ben but lengo la wote ni kupashana habari..

ebwana fareed nimekusoma sana mkuu..hapa tunawategemea watu wa ndani kwa taarifa zaidi..
 
Mbona wengine wakipigana hamuleti humu! Hawa wa nini sasa??
 
sasa hizi habari zikianza kuruhusiwa humu na global publishers wataandika nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…