TID atukana hewani (via Clouds FM)

sidhani kama T.I.D ana busara,na hajawai kujua kuongea na vyombo vya habari. ina bidi tuhoji uhalali na uwezo wa kichwa chake! pengine alikuwa sawa kutukana kulingana na akilio alizonazo, tukitumia kesi iliyo mpeleka rumande ,tutajua huyu mtu busara kwake nikituo cha polisi. kwa watangazaji pia kunatatizo inabidi wawe wanaangalia mtu ana mood gani ndio haulizwe swali! mfano Misago alipo mlzimisha wema kujibu maswali ambayo yalisha wekewa angalizo kutojibiwa ndugu Wema alipo ona jamaa anakihuka aliamua kuondoka hapo ndipo nilipo ona busara ya wema sepetu na nika gundua sikuhizi hatuna watangazaji balio tuna walopokaji. Angekuwa T.I.D ange mpiga misago!
 
ndo mjue tofauti ya kanumba na wasanii wengine ki tabia.

Mh... Kweli marehemu naye mh..
-alisema hana mpenzi,mchumba,wala mke
-alisema hanywi kilewo cha aina yeyote
-alisema hapigi wanawake..

Jibu unalo.. Ipi bora Baridi,Vuguvugu,au Moto kabisa..
 
Tatizo la Clouds ni kwamba kile kipndi cha U-Heard kumbe huwa ni laivu na mm nilikuwa sijanote kama ni laivu, kwa hivyo kwa vyovyote vile Clouds FM wasingeweza kuedit wakati mtu yupo live kwenye simu

kosa ni clouds kurusha live wangekuwa wanaangalia akili za wa2 wa kuwarusha live.mbona redio station nyingi hata m2 akitukana wanaedit kabla ya kurusha hewani?inatakiwa warecord kwa hata dk 5 waedit.pumba wamwage mchele waurushe hewani
 
Alishafungwa huyu! kwa hiyo si ajabu kwake kutukana!
 
haya wale wa GOTHIP!!,...wale wa GOTHIP!! Duh me mwenyewe nikisikilizanga kile kisegment huwa nashikwa na hasira as if me nahojiwa,kimekaa kitaarab sana kiukweli.ukiona mtu anatumia 'eti' ujue kinachofuata ni umbea
 
kweli shule muhimu sana...

acha upuuzi wako, shule na ukosefu wa adabu/maadili ni vitu viwili tofauti....vijijini kumejaa watu wasiosoma lakini ndiyo wanoongoza kwa kwa adabu na maadili mema wakati mijini kulikojaa wasomi ndiko kwenye washenzi na wapuuzi waliopituka kiwango.
 
Tatizo la Clouds ni kwamba kile kipndi cha U-Heard kumbe huwa ni laivu na mm nilikuwa sijanote kama ni laivu, kwa hivyo kwa vyovyote vile Clouds FM wasingeweza kuedit wakati mtu yupo live kwenye simu

sio live kile
 
To be fair uswahilini acha u*s*e*n*g ni tusi mild sana. Ni phrase inatumika bila ku raise eyebrows.
 
kuna mtu aliwahi niambia kuwa huyu soud brown masaburi yake yalishachezewa sasa sijui kama ni kweli?

ka ndo hivyo basi alikuwa anapa sif yake..sio matusi
 
acha upuuzi wako, shule na ukosefu wa adabu/maadili ni vitu viwili tofauti....vijijini kumejaa watu wasiosoma lakini ndiyo wanoongoza kwa kwa adabu na maadili mema wakati mijini kulikojaa wasomi ndiko kwenye washenzi na wapuuzi waliopituka kiwango.

amekariri huyo
 
Hicho kiredio kinanikera sana. Watangazaji wanjiona wao ni miungu kwenye showbiz industry.

Walimtukana sana Kanumba alipoenda Big Brother, lakini baada ya kufa walijifanya kumjua sana.

Ni wajinga sana hao madogo!!
 
haina uhusiano na mada,au ndo tuseme platnums kakuteka sana?

Kwa akili yako unaona haina uhusiano!ila TID kapanic!hana nyimbo,hapati show,hazungumziwi,hang'oi madem wakali kama zamani,hapendezi!!!!halafu nenda upande wa platinumz ambaye kipindi TID anaheat alikuwa local tu!tatizo hujui effect ya kupoteza mvuto kwa jamii na kuooromoka umaarufu
 
haina uhusiano na mada,au ndo tuseme platnums kakuteka sana?

Kwa akili yako unaona haina uhusiano!ila TID kapanic!hana nyimbo,hapati show,hazungumziwi,hang'oi madem wakali kama zamani,hapendezi!!!!halafu nenda upande wa platinumz ambaye kipindi TID anaheat alikuwa local tu!tatizo hujui effect ya kupoteza mvuto kwa jamii na kuporomoka umaarufu
 
nadhan watangazaj wetu kuna jambo wanakosea. kawaid mtu anapotakiwa kuhojiwa ni vyema akaandaliwa kwa kujuzwa then kama atakuwa willing kujibu unaweza kurusha hewan
 
i think that is what clouds fm diserve.over
 
nadhan watangazaj wetu kuna jambo wanakosea. kawaid mtu anapotakiwa kuhojiwa ni vyema akaandaliwa kwa kujuzwa then kama atakuwa willing kujibu unaweza kurusha hewan

Hii ni bongo bwana,lolote unafanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…