TID atukana hewani (via Clouds FM)

Tid ndiye aliyefungwa kwa kupiga mtu, Pia iliripotiwa amepigana na Hashim sasa ni kipi mnatarajia kutoka kwake zaidi ya hayo. Na wale watangazaji wote wanaotarajia kumualika TID kwenye mahojiano wakae kwa tahadhari, hukawii kupata ngumi ya uso. SALAMA JABIR na mkasi upo ?
 
haina uhusiano kama kupteza umaarufu tid alishapoteza muda kitambo...na wengine wajifunze kuondoka kwa mtu sio sababu ya kumuongelea vibaya na vile muda mwingi yuko bwaksi nadhani vilichangia!
 
Kwa hiyo tukubaliane kuwa hakuwatusi bali aliwapa karipio kali kuwa waache u-cameruni na ikiwa hawwwezi basi wakfanyie ubaradhuli wao mbele ya safari ,na hoja ya sijida ,yaani hapo ndio yuko sahihi kabisa ,maaana ile inkutaka uwe mkweli ,muwazi ,jasiri dhidi ya uovu wote!kudo TID way to go!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…