TID mnyama kulikoni???

TID mnyama kulikoni???

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
31,415
Reaction score
38,761
jamani warioba anafanya nini tena kitaa,mbona tuliishaanza kuona afadhali???nimetumiwa picha na mdau jamaa kapasuka vibaya,na video ikionyesha anagombana ugomvi wa watoto wa darasa la pili.
dah inasikitisha sana.
 
mkuu, kigogo kakwambia ukiwa unatoa taarifa usiweke picha na video..?
 
jamaa mpasuaji anadai warioba alimmwagia bia[emoji23][emoji23]
IMG_20190620_164335.JPG

Mzee kigogo warioba kala ngeta oh Mimi mtoto wa kinondoni siguswi ohhh yakowapi teh
 
Anaonekana kama wale wanaojiita Amber Lulu na Amber Rutty. Dah, mtu mzima sijui kakwama wapi!
 
Back
Top Bottom