TID mnyama kulikoni???

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
31,415
Reaction score
38,761
jamani warioba anafanya nini tena kitaa,mbona tuliishaanza kuona afadhali???nimetumiwa picha na mdau jamaa kapasuka vibaya,na video ikionyesha anagombana ugomvi wa watoto wa darasa la pili.
dah inasikitisha sana.
 
mkuu, kigogo kakwambia ukiwa unatoa taarifa usiweke picha na video..?
 
Anaonekana kama wale wanaojiita Amber Lulu na Amber Rutty. Dah, mtu mzima sijui kakwama wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…