DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hahah kaanzisha ugomvi kwenye nyumba ya kiooAnaundava sana huyu mwamba maneno mengi kumbe hana ngumi za moto teh
Alipigwa ngumi jiwe?au ngumi ya kawaida maana si kwakuvimba ukoView attachment 1132527
Mzee kigogo warioba kala ngeta oh Mimi mtoto wa kinondoni siguswi ohhh yakowapi teh
Kupigana kwa namna hii ni hatar sana kwa afya ya mpigaji au mpigwaji,coz kuna mgusano wa mchuzi direct.if mmoja kati yao ni mla njugu mawe basi kashamkaribisha mwenzake katika hafla ya kula njugu.View attachment 1132527
Mzee kigogo warioba kala ngeta oh Mimi mtoto wa kinondoni siguswi ohhh yakowapi teh
Hii pic amejichukua selfie mwenyewe....??View attachment 1132527
Mzee kigogo warioba kala ngeta oh Mimi mtoto wa kinondoni siguswi ohhh yakowapi teh
Uziweke wp kwenye frem....Nirushie picha PM nzieke mimi....
Huyu alikuwa na genye ya kupigwa!....nimeona ile clip....amelewa amekwenda kuchokoza asiyelewa....😂😂😂😂😂😂 mzee kigogo kapokea vitasa vya uponyaji
Hii pic amejichukua selfie mwenyewe....??
View attachment 1132527
Mzee kigogo warioba kala ngeta oh Mimi mtoto wa kinondoni siguswi ohhh yakowapi teh
[emoji23][emoji23][emoji23] BASATA kachakazwa vibaya
Ohooooo?????Kupigana kwa namna hii ni hatar sana kwa afya ya mpigaji au mpigwaji,coz kuna mgusano wa mchuzi direct.if mmoja kati yao ni mla njugu mawe basi kashamkaribisha mwenzake katika hafla ya kula njugu.
jamaa mpasuaji anadai warioba alimmwagia bia[emoji23][emoji23]
Sio kakwama wapi maisha tu yanamfanya hivoAnaonekana kama wale wanaojiita Amber Lulu na Amber Rutty. Dah, mtu mzima sijui kakwama wapi!
Sawa.....Nyie hko mnajikata uumee wenuwanaume wa kinondoni hawa