wa nini?Mwenzio raisi ujue!
Hilo kundi la TID yeye kr ndio raisi.wa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makubwaa!!Hilo kundi la TID yeye kr ndio raisi.
Ndiye mwenyewe huyo. Kim amefariki zaidi ya miaka sita sasa kama kumbukumbu zangu ziko sawa.Mkuu hivi huyo kim ni yule wa kim the boys, aliyekuwa anaanda mashindano ya kucheza muziki?
amefariki lini?
hahahaha we jamaaa salute sana sana sana we ni mkali sana kumbe unakumbuka hiyo ngoma, hapa kuna wadau hawajui tulipotoka, zile ngoma zilikua kali.. ile ngoma ya kasheshe inasema "" kudhulumiwa mimi kutapeliwa, shamba la babu yetu limevamiwa, tulipofika sisi wakakimbia.. waliona picha kali......cheza mbali na kasheshe..Hawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".
Enzi za kina Kolumba Mwingira na O Juice.
Huku Y Thang anatema yai ukiwa humjui utasema mnyamwezi kashuka kutoka Harlem leo.
KR na yule dogo mwingine wa GWM wamepotea hapa kati, lakini kipindi kile walipata airtime sana.
Ndiye mwenyewe, tena Dotto alikuwa mwanangu kuliko KR, muda wote kama kadata.Atakuwa dotto huyo mzee wa yamenikuta
Hawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".
Enzi za kina Kolumba Mwingira na O Juice.
Huku Y Thang anatema yai ukiwa humjui utasema mnyamwezi kashuka kutoka Harlem leo.
KR na yule dogo mwingine wa GWM wamepotea hapa kati, lakini kipindi kile walipata airtime sana.
Wale jamaa walikuwa wanaandika lyrics na mshua wao Uwanja wa Taifa indoos kule nawaona.hahahaha we jamaaa salute sana sana sana we ni mkali sana kumbe unakumbuka hiyo ngoma, hapa kuna wadau hawajui tulipotoka, zile ngoma zilikua kali.. ile ngoma ya kasheshe inasema "" kudhulumiwa mimi kutapeliwa, shamba la babu yetu limevamiwa, tulipofika sisi wakakimbia.. waliona picha kali......cheza mbali na kasheshe..
So sad.Back in the days..
sasa kuna watu hawajui hata contribution ya bonny luv kwenye mziki...
na unakuta ni journalist mtu huyo
Pole sana ndugu hao watu walikuwa kiboko mtu ambae hajui bongofleva ilipotokea hawezi kuwajua hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu ndio maana mtu kama rankim au choggyslay ukiwauliza watu hawawajui.Ndiye mwenyewe, tena Dotto alikuwa mwanangu kuliko KR, muda wote kama kadata.
Dah, umenikumbusha mbali mpaka najishtukia wanangu naanza kuwasahau majina. Miaka imekuwa mingi.
R.I.P Rankim.Pole sana ndugu hao watu walikuwa kiboko mtu ambae hajui bongofleva ilipotokea hawezi kuwajua hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu ndio maana mtu kama rankim au choggyslay ukiwauliza watu hawawajui.
Naikumbuka hiyo nadhani ndo ilikuwa sababu ya kuondoka hapo siku nzuri za zamani hizo waqt umeenda sana.R.I.P Rankim.
Kuna siku aliupiga mtindi mpaka aka flet studio Radio One mambo yakawa yanajiendesha yenyewe watu wakamshtukia Rankim kaangusha gari.
So sad.
Bonny Luv alikuwa mgomvi sana Upanga yule wakati yuko mdogo.Kitu kidogo tu Bonny ngumi mkononi.
Alivyokua na kujichanganya na watu akaacha.
Robert makala na nduguye wakijiita D chief na easy dope.Wale jamaa walikuwa wanaandika lyrics na mshua wao Uwanja wa Taifa indoos kule nawaona.
Siku hizi nikishuka hapo Dar watoto wananiona mimi mgeni eti.