TID na usemi wa ''Ni Yeye'': Je, ni kweli kuna haki ya umiliki wa maneno ya kawaida ya Kiswahili ambayo yamekwepo kwenye matumizi karne nyingi?

TID na usemi wa ''Ni Yeye'': Je, ni kweli kuna haki ya umiliki wa maneno ya kawaida ya Kiswahili ambayo yamekwepo kwenye matumizi karne nyingi?

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Katika siku za karibuni katika mitandao ya jamii, huyu msanii TID amekuwa habari kuwa huu usemi ni wake kwa yeye ndio mbunifu na kufika kusema ameuandikisha cosota hivyo ana haki nao katika matumizi.

Hili limenifanya niwaze, je ni kweli kuna haki ya maneno ya kawaida ya kiswahili ambayo yamekwepo kwenye matumizi karne nyingi.

Je, hii ni namna mpya ya kujipatia kipato?
Je, huyu msanii yuko sawa kwenye akili zake au anatumika vibaya?
 
20200811_141542.jpg
 
Naskiaga vijana wakisema resi moja miaka saba!
 
Back
Top Bottom