mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Tatizo dharau ndio humponza huyu kijana laa sivyo diamond angetafuta pa kujifichaNaangalia FNL hapa anafanya show nyimbo zake..huyu jamaa bado yuko na kipaji Sana!!!
Daah wee jamaa utakuwa unakaa mitaa ya kinondoni stereo karibu na ule mwembe,maana tabia zote za huyu mzee kigogo unazijua,mbishi na mwenye dharau,laa sivyo diamond angekoma!Ni kweli TID..aka mnyama..aka..mti mkavu...ni mkali...ila hashauriki....hyo jamaa..huo ndio urithi wake....
Hivi yule KR wa wanaume family anabiashara gani na TID maana ndio rafiki yake mkubwa nowadayz,utawakuta kwenye ile mark x ya TIDTID ni mwanamuziki wa kiwango cha dunia
Mwambie akaisikilize nyimbo kama rahisa au siku kama hizi alafu amfananishe na hao wanaowika sasa hivi,TID tunaishi naye mtaani,tatizo lake sio unga,tatizo la TID ni dharau na kutokusikiliza ushauri wa mtu yeyote hata ndugu zake,akiamua ameamua,ndio mwanamziki anayeongoza kubishana na media hadi ilifikia kipindi show kwake alikuwa anazisikia tuu sababu ya kiburi chake,ila uwezo anao,wala hahitaji kuandikiwa,ujeuri anao tangu anatangaza radio magic alikuwa jeuri tuu!Mkuu Tid sio mshkaji wangu..Mi Ni shabiki tu kama shabiki wengine...Nnachoweza kukushauri..Rudi kasikilize kazi zake zote zen urudi kujenga hoja..
Huyu jamaa anavyojiita mnyama hakosei yaani kwamfano diamond ndio angekuwa anashindanishwa na TID alafu TID apewe promo kama anazopata ally kiba,diamond tungemsahau,tatizo TID jeuri na mwenye dharau zisizo elezekaLabda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
ligi gani veve ukiangalia hapo kuna ligi ....Acheni ligi ndogo!!!
Kaka ligi ndogo hiyo ni nyimbo ameimba TID na bill nasligi gani veve ukiangalia hapo kuna ligi ....
ukiona mtu anakoment hivi ujue ana hasira zake huko mi wala hainiingii akilini .... majibu ya walevi na wenye stress utayajua sasa ukijifanya kuhangaika nae unajikuta na wewe una stressπππππππ
Kumbe ana Makeeks!?Hivi yule KR wa wanaume family anabiashara gani na TID maana ndio rafiki yake mkubwa nowadayz,utawakuta kwenye ile mark x ya TID
ha ha ngadanization ati weki!ngada inamuua Lakn nimesikia nikapagawa sijaonaga
Aache mapouderrrrr