TID ni shujaa, jasiri na "mnyama"

Hiyo ni kiki tu, inaelekea, walipanga juzi walipokutana home kwa huyo anaemuita kakaake...
 
Maisha bila madawa inawezekana..

TID kawa jasiri,hongera zake
 
Akifanikiwa kuacha itakuwa poa sana
Shida moja ni kwamba hatua aliyofika ni kubwa sana na ameshakutana na mambo mengi ambayo akikumbuka atataka ajiliwaze na unga
Wengi wa hawa watu huwa wanatamani sana kuacha wanajua ubaya wa unga ila nguvu hawana inabidi tu wapotee
Dunia ni kubwa zaidi yao ni kubwa hawawezi kupambana nayo tena
Sehemu pekee ambayo ningetaka kumuona muuza unga ni kwenye mti mrefu ametundikwa moto mkali ukiwa unamzunguka afe kwa kubanikwa taratiiiiibu mpaka akate roho asichomwe abanikwe taratibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…