Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Umeuliza swali au umetoa maelezo kwamba uraia wake atarejeshewa?Akiukosa huo ulaji atarejeshewa huo uraia
SwaliUmeuliza swali au umetoa maelezo kwamba uraia wake atarejeshewa?
Swali
Una shida gani?Nmejifunza kitu, uraia pacha haufai!
Unahisi nchi kama Japan, Misri, China, Iran, Morocco, Ufaransa, Uturuki, Urusi unaweza kuwa raia wa nchi nyingine alafu ghafla ukane uraia huo na kugombea kati ya nchi hizo?Una shida gani?
Kwa mabara mengine kunaweza kuwa tofauti kidogo, kwa Africa nchi zimeuzwa na wazawa kabisa hivyo, hakuna tofauti ya mzawa na mtu mwenye uraia pacha.Unahisi nchi kama Japan, Misri, China, Iran, Morocco, Ufaransa, Uturuki, Urusi unaweza kuwa raia wa nchi nyingine alafu ghafla ukane uraia huo na kugombea kati ya nchi hizo?
Huo ni kama uwendawazimu. Yaani kwa maslahi uliona uwe na uraia wa nchi nyingine, maslahi yakaisha ukastaafu hiyo nchi sasa unakana uraia wake unaenda kugombea nchi yako ya zamani kutafuta maslahi. Mapandikizi haya