Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mkuu, Hawa watu walifikiri akija nchini atajitoa ufahamu. Wakaona jamaa kichwa amedhamilia kuleta mageuzi ya kweli, na wao hawayahitaji.Tido Mhando aliacha kazi Bbc london kuja kuijenga Tbc malipo yake yalikuwa ni kumbambika kesi.
Namshauri mzee Tido Mhando achana na hawa wahuni wa ccm kukuchafuwa tena, pumzika kula pensheni yako.
Mdahalo kwa wagombea ubunge mchakato majimboni ndio ilimuondowa, Makamba akaona wagombea vilaza wa ccm wanavyoumbuka na kipindi kikasitishwa akabambikwa na kesi juu.Mkuu, Hawa watu walifikiri akija nchini atajitoa ufahamu. Wakaona jamaa kichwa amedhamilia kuleta mageuzi ya kweli, na wao hawayahitaji.
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo imeeleza kuwa wajumbe wa Bodi hiyo Thobias Makoba, Mgaya Kingoba, Dk. Rose Reuben, Dk. Egbert Mkoko na Ladislaus Komanya.
Bodi hiyo imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari Na. 12 ya mwaka 2016.