tido muhando ndani ya al jazeera

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,165
kuna tetesi kwamba tido mhando mkurugenzi wa tbc sasa anafanya kazi al jazeera je ni za kweli!
 
Kabakabana! Yaelekea umetoka usingizini! Tembea tembea bila shaka urudi.
 
kuna tetesi kwamba tido mhando mkurugenzi wa tbc sasa anafanya kazi al jazeera je ni za kweli!
<br />
<br />
hausomi mtandao huu mara kwa mara. Amekanusha taarifa hizo. Angalia thread za siku 2 zilizopita au michuzi blog
 
kuna tetesi kwamba tido mhando mkurugenzi wa tbc sasa anafanya kazi al jazeera je ni za kweli!

Ndio ni za Kweli, Je unajengine la Kuuliza? au unataka kujua Kikwete bado ni Rais wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…