TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?

Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms.

Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
 
Kwani si nasikia bado kuna simu ya maandishi huko bado inafundishwa watoto
 
Bongo nyoso , mfano pluto huko NASA walishasema sio sayari toka 2006 au 2008 kama sikosei ila vitabu vyote vya bongo mpaka miaka 8 mbele vinaimba sayari 9.
 
BARUA bado zinaandikwa sana nadhani ni vema zikaendelea kufundishwa
 
Sasa ndo barua za mapenzi?
Hata hizo ni urafiki
Ni maarifa mbalimbali mtu unakuwa nayo kumbuka sms sio rahisi akatunza ila barua mtu anatunza na kukumbuka enzi
 
Bongo nyoso , mfano pluto huko NASA walishasema sio sayari toka 2006 au 2008 kama sikosei ila vitabu vyote vya bongo mpaka miaka 8 mbele vinaimba sayari 9.TAFITI KABLA HUJAANDIKA.. T.I.E washatoka vitabu vipya na Pluto Haina sofa ya kuwa sayari.
 
Back
Top Bottom