Wana JF ,naomba kuuliza kama Kuna mtu alishawahi kutumia hizi products za kichina kama zinafanya kazi kwa uzuri please let me know .na kama Wana office Arusha iko maeneo yapi please.
Msaada kama Kuna mtu yuko Dar naomba number zao za simu please. Office zao ziko maeneo ya Posta kama sijakosea .I hope to hear from you guys soon.