[emoji23] [emoji23]wakuu.
ni furaha kubwa sana kwa watoto wa Diamond Tiffah na Nillan wakimsubiri Baba yao mdogo azaliwe ili waanze kucheza nae itakua furaha sana kumpata Baba mdogo a.k.a mtoto wa Shamte.
wanawake wa darJapo ni maisha yake, japo nae anahitaji furaha, anahitaji kuwa na mwenza.... Mi kwangu naona fedheha
bibi wa darwanawake wa dar
huu mji una mambobibi wa dar
Utakuta siku hizi naye hawezi kumaliza sentenso mbili za kiswahili bola kutupiamo neno "so".[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] chezea vibibi bus DSM.bibi wa dar
haa mbona sikuelewi ndugu ?shamte ndo nani?wakuu.
ni furaha kubwa sana kwa watoto wa Diamond Tiffah na Nillan wakimsubiri Baba yao mdogo azaliwe ili waanze kucheza nae itakua furaha sana kumpata Baba mdogo a.k.a mtoto wa Shamte.
hivi ni serious si angenyooshwa tu basi ana umri gani bibiye?Japo ni maisha yake, japo nae anahitaji furaha, anahitaji kuwa na mwenza.... Mi kwangu naona fedheha
Vijana kwa wazee, wote vitukohuu mji una mambo
Naona kama wapo serious, ila huko kuzaa sasa duhhivi ni serious si angenyooshwa tu basi ana umri gani bibiye?
I see. Kweli huyu mama shida. Na jamaa anajiita baba Dangote kbsNaona kama wapo serious, ila huko kuzaa sasa duh
Hii familia ha ha ha ni shidaI see. Kweli huyu mama shida. Na jamaa anajiita baba Dangote kbs