Tiger Woods Aachana na Mkewe Rasmi

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Tiger Woods na Mke Wake Wameachana


Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua anatembea na mzungu mwingine. Haikuishia hapo....iligundulika kuwa Tiger katembea na majike wa kizungu zaidi ya 14 wakati wa ndoa yao. Wote wazungu wenye nywele blonde. Hata siku moja hajaonekana na kuku mweusi.

Haya Elin anarudi kwao Sweden na donge nono. Tiger ni billionaire na walizaa watoto wawili moja ana miaka mitatu mwingine wa kiume ana mwaka moja tu.
 
Hata siku moja hajaonekana na kuku mweusi.
Oh please, I demand apology kwa dada zetu...unawaita dada zetu kuku weusi?:confused2:
 

Hpa sijaelewa alimaanisha kuku mweusi as in mnyama au ni vingine :confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…