......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.Haya maisha bwana, hivi imekuwa ngumu kabisa kusameheana ili wawatunze watoto wao kama familia moja? Bora uwe single for life!
......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.

Asante mama nakubali but as for me I believe in change and forgiveness. Siwezi kuubadili ukweli lakini kama wangerudiana ingekuwa bora zaidi ukizingatia kuwa in one way or another we are all not only cheaters but also sinners!

Haya maisha bwana, hivi imekuwa ngumu kabisa kusameheana ili wawatunze watoto wao kama familia moja? Bora uwe single for life!
......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.
Kama sikosei nakumbuka mkewe alimsamehe pia Tiger Woods akaomba msamaha public sasa sijui kwanini wameamua kudirvoce or is it because on money cause Tiger Woods is wealthy
mwenyewe nashangaa nini kimewasibu...ama mwanamke amelazimishwa na ndugu ...kizazi cha leo mtu anakiri amekosea na kuomba msamaha kwa majuto lakini bado mtu anakuwa na roho ngumu..
Nimesikitika kama mie vile

hapo kubadilika inakuwaga ngumu sana kwa watu wengi pia kusamehe 100% mana doa limeingia tena kama ulikuwa unamwamini mtu kupita maelezo!!!..maisha mafupi kuishi kwa kusononeka na mtu mmoja siku 365..talaka muda mwingine ni suluhisho tosha kupeana nafasi kama amani,mapenzi na uaminifu haviwezi kurudi tena kwenye ndoa!!
Nimeupenda mtazamo wako lakini, natumai uko hivyo pia kiukweli!!..