NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Kila mtua ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi maisha yake. Kwanini mnamlazimisha Tiger kuwa na demu wa kibongo?
Kila mtua ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi maisha yake. Kwanini mnamlazimisha Tiger kuwa na demu wa kibongo?
Duh mwanangu vijisent vyote hivyo hata mbantu mmoja hakuambulia jamaa nadhani ana tatizo na dada zetu
bora mama huyu aanze mbele , mtu kula uroda kwa a porn star tena bila condom , kuna umuhimu gani wa kuishi naye? Kawaida mtu akiwa hatumii condom hatotumia tuu na kama alicheat ata cheat tuu ,sawa kabisa kwa mama kuachana na huyu jamaa kwa usalama wake na watoto wake.
pia ukicheki jamaa hakuwa na demu mbantu mademu wote aliotembea nao ni watasha tena wenye nywele za blonde
kuachwa na mke maana kaoa mapema so atakua na time ya kula mpaka ma changu wa ibiza na hakuna atakaye muuliza . Nathani its good for them
Ubaguzi wa rangi haupo kwa weupe tu! Hata sisi weusi ni wabaguzi! Tiger angekuwa mzungu afu akawa anawachukua weusi, hizi comments tusingezisikia kihivi! Miafrika Ndivyo Tulivyo!
Pia ukicheki jamaa hakuwa na demu mbantu mademu wote aliotembea nao ni watasha tena wenye nywele za blonde