Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data.
Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo.
Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu au internet hakuna kitu chochote background ambacho mtasema kina consume data. Wala hakuna auto update ambayo ingesema inaconsume data.
Tuheshimiane. Nasisitiza hili neno sababu tukianza kufanyaniana Uhuni na sisi wastaarabu tukichoka huwa tunakuwa wahuni wabaya sana. So Nawasihi tuheshimiane. Nawaomba sana. Tuheshimiane. Ni vizuri kama nimeamua kuwaheshimu nanyi mniheshimu.
Wote tunahitaji pesa. Mimi sitafuti kwa ajili tu ya kuja walipa ninyi. Natafuta kwa ajili ya mambo mengi, why stealing from me? Tuheshimiane. Huwa watu kama sisi kuna kipindi tunachoka. Tunasema Liwalo na Liwe. Si hatua nzuri. TUHESHIMIANE.