ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Jan 30, 2010 #1 Ili kuwa ni vigumu kupata mtandao kwa waishio maeneo ya Bondeni na makazi yenye msongamano. Sasa ni mtandao ulio rahisi kwa usalama wa fedha zako, uboreshaji wa maisha na mipango mingine ya kifamilia, naweza kuongea nikiwa popote .
Ili kuwa ni vigumu kupata mtandao kwa waishio maeneo ya Bondeni na makazi yenye msongamano. Sasa ni mtandao ulio rahisi kwa usalama wa fedha zako, uboreshaji wa maisha na mipango mingine ya kifamilia, naweza kuongea nikiwa popote .
K Kamuna JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 298 Reaction score 53 Jan 30, 2010 #2 Mhhh, una hatari weye dugu yangu!