Tigo, Biashara imewashinda?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Ni siku nyingi sasa naona matatizo ya Tigo yanazidi kuongezeka.
- Upatikanaji wa network ni tatizo hata sehemu za mijini
- siku hizi wana tatizo la mawasiliano ukipiga co unaambiwa network busy, au namba haipatikani wakati sio kweli...
 
sure, sometimes mpaka urudie kupiga namba mara ya pili ndio unaipata.! nadhani wanahitajika kufanya uongezaji wa rooms zaidi ili watu wawe available all the times. waeja wamekuwa zaidi ila mitambo iko vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…