Tigo bundle la 4000 kwa GB1?

Zipapa zipapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
409
Reaction score
118
Hakika sasa huu wizi wajameni. Mbaya zaidi bei zinabadilika badilika ka bei ya nyanya sokoni why?
 
Tigo wanakoelekea ni kutorokwa na wateja unakuta Airtel ya buku GB 1 24hrs ila Tigo ya buku MB 650 cjui kwa nin inakuwa hivi
 
zantel,gb 1.5 kwa 1000 na speed kali sana
 
Nimenunua bundle ya 4000 kama kawaida nilidhani G2 kama last week kumbe wameshabadilisha. Natafuta zantel
 
Zantel bundle zao zipo vizuri kuliko mitandao mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…