JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua.
Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu.
Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa tena mara ya pili nikafanikiwa. SMS ya muamala ikaja kuangalia salio nikagundua nimakatwa ule muamala wa kwanza kiasi cha 45,000 lakini wakala hakuona huo muamala.
Kwa vile nilikuwa safari nikajipa moyo kwamba itarudi tu hela yangu.
Nikaanza kupiga simu tangu hiyo Alhamini jioni hadi leo jumatatu, cha kushangaza simu zinakatwa tu baada ya kuongeleshwa kwa mda mrefu,, yaani ikifika sehemu ya simu yako inarecordiwa baada ya hapo inakatwa.
Shida ni nini?