tiGO haina huduma ya ROAMING?

tiGO haina huduma ya ROAMING?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu.

Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA) kwenye line ya TIGO lakini sijaiona. Kwa nini hivyo?

1. Tigo hawana hiyo huduma?
2. Sijaitafuta kwa makini?

Msaada wenu tafadhali🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom