GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Wakiendelea kulilazimisha hilo lijina lao "nawarudishia" line yao!Hivi ni kwanini wabongo wameligomea jina la YAS pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kuliforce kwa jamii?
Limeshapitishwa na mamlaka hakuna namna tenaWakiendelea kulilazimisha hilo lijina lao "nawarudishia" line yao!
Ila silipendi. Nitaachana nayo muda si mrefu.Limeshapitishwa na mamlaka hakuna namna tena