Tetesi: Tigo, halotel na TTCL mnafilisika. Inakuwaje mnaazima vifaa vya usajili kwa alama za vidole?

Tetesi: Tigo, halotel na TTCL mnafilisika. Inakuwaje mnaazima vifaa vya usajili kwa alama za vidole?

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
218
Reaction score
194
Vijana wenu wa usajili (freelencer) wanalalamika na ahadi zenu za uongo za kuwapa vifaa vya usajili 'scaner'

Sasa ni mwezi wa tatu huku Tigo vijana wenu wakitumia vifaa vya Vodacom kukamilisha kwa dole na TTCL wakitumia vya Airtel kukamilisha kwa dole

Sio sawa mnajidhalilisha wakopesheni kwa wanaohitaji kukopeshwa kama mambo magumu maana wako tayari
 
Hata mukipewa mapema hazitawasaidia nida wengi hatujapata vitambulisho hata kwa *152*00#
 
Back
Top Bottom