kaka hamia airtel hao,vimeo.Ukitaka kuwapata unafanya hivi;
1.unapiga namba 100 utasikiliza blabla zao hadi mwisho huwezi kuzikata.
2.kisha mwisho watakwambia ukitaka blabla bonyeza 2,ukitaka blabla bonyeza 3,kisha watakwambia ukitaka huduma nyinginezo bonyeza reli #,utaponyeza reli.
3.baada ya kubonyeza reli watakupa blabla bonyeza 1-8 cjui.Kisha watakwambia kuongea na huduma kwa mteja bonyeza 9 ,bonyeza tisa 9 utawapata wape vidonge vyao ujihadhari lakini wananyodo hao...
Wanalalamikiwa hata na customer care(hawaunaonana nao ana kwa ana ukienda ofc za tigo) wenyewe hao wanawaita call center,ni washenzi ajabu!....