Tigo Internet

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo

Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni

Hapo shida ni nini wakuu
 
Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo
 
Internet Imezimwa
Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe, Venezuela, Urusi, China na. Failed state nyingine na Gabon. Sasa imekua hapa hapa
 
Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe na Gabon. Sasa imekua balaa
Sasa
Ndiyo Imefika
Pepsi Mpaka Basi πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Pepsi Ml 100 Zaidi πŸ˜‘πŸ€¨πŸ˜ΆπŸ˜
 
Unaishi nchi gani?
 
Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo
Halotel kwa huku nilipo inasumbua sana ndio maana situmii

Ila voda iko poa, tatizo ni hawa tigo
 
Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia mtandao wa tigo

Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni

Hapo shida ni nini wakuu
Kwa hiyo siku zote ulikuwa unapata leo ndio imegoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…