Mmh jaza ujazwe tena ujazwe kupitia tigo
Kwangua ukwanguliwe kazi ni kwakoNasubiria voda sijui wataigaje hapo
Uliogopa kujazwa??? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mhhhhhhh tangu neno hilo litumike nilitumiwa sms sikuimaliza kuisoma line yangu ya tigo niliitoa kwenye simu, nikaweka line nyingine.... mpaka sasa sijui hiyo line iko wapi. ...[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kalitumia kama lilivyokuja acha tu akubali kujazwa. [emoji23] [emoji23]Nilmsikia mbaba mmoja hivi anasema "TIGO wamenijaza" cjui kama anaelewa maana ya hilo neno
Kumbe uko voda. Hamia tigo my na wewe ukijaza ujazwe. [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nasubiria voda sijui wataigaje hapo
Kumbe uko voda. Hamia tigo my na wewe ukijaza ujazwe. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Aha kama hivyo hapo sawa kama sio hivyo ungehamia uone watu wanavyojazwa.Mwanza,tigo netwrk ya kubembeleza sana.
Aha kama hivyo hapo sawa kama sio hivyo ungehamia uone watu wanavyojazwa.
Hahahaaa.Mwee mweee kujazwa bila kutarajia ni sheeder
naona ana chekelea tuKalitumia kama lilivyokuja acha tu akubali kujazwa. [emoji23] [emoji23]