Tigo kulikoni Xmass Hii?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kwa kuwa tumeshajenga mazoea kwamba ikifikia xmass mnaita potential customers na kuwapa zawadi ya "madaftari" lakn mwaka huu naona kimya

My Take;

Bora tu mkaushe maana niligombana na customer care last yr baada ya kugundua kwamba hakukua na value foe money; yaani unatumia fedha nyingi kufuata zawadi kiduchu.
 
ooooooooooooooopssssss.....hata ofa za kupiga simu/msg sijaziona mwaka huu.............
 
ooooooooooooooppssssssssssss.............hata ujumbe wa kututakia heri sijauona XMASS hii
 
jitu zimaaaa linakaa kungojea vya bure! kichwa kama box!

 
jitu zimaaaa linakaa kungojea vya bure! kichwa kama box!

tehe tehe.........utakua mdau wa kiwango cha lami......................huwa tafakuri finyu inaenda hii .................kuna watu walikata tiketi wakaambiwa chalula ni hure nao wakahamasika bila kujua kwamba sehemu ya fedha walikoatia tiketi ndizo zinanunua chakula, wewe kweli ni YOU TUBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…