Hebu tupe akili mkuu sisi wengine tupo Matombo Mtombozi huku hatuelewi huyo mastercard anawajibu gani nasi tuungane nayeWana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na Mastercard kwanini mimi ndo niwapigie Mastercard? Pia napata wapi hizo namba za customer care za Mastercard?
ukusoma kuhusu ADS. mfumo wake kila watakapo tangaza wanakata pesaWana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na Mastercard kwanini mimi ndo niwapigie Mastercard? Pia napata wapi hizo namba za customer care za Mastercard?
Ipo siku yako.mimi ela imekatwa ela hazijafika nmeambiwa nisubiri 24hrsNimelipia mzigo wangu kwa Tigo pesa Mastercard bila shida na nimeupata kutoka china
Stable visual mastercard labda vodacom, halotel na airtel nimefanya purchase mara nyingi kwa vodacom mastercard na sijawahi kupata shida yyte ile.Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na Mastercard kwanini mimi ndo niwapigie Mastercard? Pia napata wapi hizo namba za customer care za Mastercard?