Tigo Mbona hamweleweki

Tigo Mbona hamweleweki

Mnama

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
2,963
Reaction score
2,694
Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde kwa speed hii mnayotupeleka acheni hizo maana hata huduma zenyewe za kungaunga mara simu haipatikani mara hamsikilizani hata TCRA noa wamekaa kimya . TCRA kuweni kama ewura tangazeni bei elekezi au lazimisheni makampuni yawe yanatangaza kwenye magazeti gharama halisi za kupiga simu kila mwezi au mabadiliko yanapotokea na pia ubora wa huduma uzingatiwe sio unalizimika kukata simu na kupiga tena ili msikilizane.
 
Back
Top Bottom